Duh kuna mdada kanizimia...................

Hii thread kama imeshachakachuliwa flani hivi!! Na haijfika mbali.
 
Kuwa mkweli uwe huru,hata kama ataumia cha msingi ajue hutaki kumchezea na sio aina ya mwanamke unayemuhitaji.
 
mi nilimkataa huyo angali bana usije bakia mjane ooohhoo akili kumukichwa
 
Mwambie wazi ajue kwamba hamna future kati yako nawe, ukishindwa kumwambia live, mweke kwenye mazingira atambue yeye mwenyewe hilo, kama ameishakata miaka kama unavyosema, haina haja ya kumpotezea muda mtu kama huyo. Kadri ambavyo humwambii na mda unapita ndio kadri ambavyo humtendei mema.
 
mkuu weka ndani mke huyo...
siku hizi umri sio ishu, ndio maana imekuchukua mda kujua kuwa umezidiwa umri!!
enzi za wazee wetu mwanamke alikuwa kama tool/machine, kwani shughuli nyingi za shuluba alikuwa anazipiga yeye that'z Y walikuwa wanawahi kuchakaa na kuzeeka!!kwa hiyo wazee walikuwa wanachukua mabinti waliowazidi sana umri,
 
Humpendi kwa tabia zake au umri? Isijekua unamwacha akufaaye kwa kuogopa kuchekwa umeoa mzee. Kama mlipatana kimazungumzo mpaka mkaingia page nyingine (sijui mliingiaje!) basi yaelekea mna maelewano mazuri na interest zinazofanana.
 
Humpendi kwa tabia zake au umri? Isijekua unamwacha akufaaye kwa kuogopa kuchekwa umeoa mzee. Kama mlipatana kimazungumzo mpaka mkaingia page nyingine (sijui mliingiaje!) basi yaelekea mna maelewano mazuri na interest zinazofanana.

Kimsingi sina hisia za kimapenzi kwake kabisa
 
......mpotezee tu kama vipi,no mawasiliano inatosha
 
I like your stance. Jitahidi maana hata wenye watoto nje ya ndoa sidhani kama walipenda ila wanaingizwa mkenge.
Dont sleep with a woman you are not ready to marry kama hutaki mtoto wa nje.

Sitaki mtoto wangu awe wa nje ya ndoa, nataka kuzaa na mwanamke ninayempenda ili nipende kila kilicho chake
 
Afu ukisha mwamkia unakimbia au unaendelea nae???

kuna wengine ukimuona ni kama kabinti kadogo. Na huwezi uliza umri gafla gafla! Unarusha mawe na kumaliza game,ukijakujua umri utampa shikamoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…