Duh.......Maisha saafi kabisa

Shosti mbona mi sioni kitu?
Hakuna link yeyote.
Au utarudi tene baadaye kama kawaida yako?
 
Mama vipi leo umeamua kutuingiza town? Mbona sioni chochote?
 
ttp://www.wavuti.com/uploads/3/0/7/6/3076464/3588985.jpg?606[/img

[/quote]

Mhhh hata kwenye google imedunda.
 
Shosti mbona mi sioni kitu?
Hakuna link yeyote.
Au utarudi tene baadaye kama kawaida yako?

hahaha Ndibalema haka kajukwaa kalishaniacha hoi kila nikibandika kitu hakionekani
au mmeshabinafisha ??
 
hapo hakuna lolote akipewa ile ya supu basi anawachia njaa noma na hivi hawa jamaa wanakuwa na muda wakubadilisha pamba au ndio mazima tangu apewe
Conquest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…