Ngojea ATCL wakianza kwenda KIA watawapa tafu precision na nauli itabidi ishuke; tatizo ninaloliona ni hao masalia ya Pesambili Mramba hapo hazina ndio wanaiangusha ATCL kwa kutokuwapa mafungu yao kwa wakati.
na kwenda mwanza sijui itakuwa kiasi gani? Sijui ni kweli mfanyakazi mwenzangu kaomba nauli ya kutoka mwanza kwenda arusha tshs 70,000 eti ni kweli au anataka kutupiga bao?