Duh! Nahisi kama nimepigwa kibuti.........

Duh, kweli mapenzi yana mambo. Heri yetu tulio single
 
cjui kama nitakuwa tofauti na wengine ila naamini mpenzi wako anaweza kukusaidia kuondoa stress sasa we haukuwa katika mood ukamchunia siku tano what did u expect? huyo cyo dada yako ndugu. badilika na uongee nae vzr na uachane na hyo mambo.
 
Shukran mkuu, lakini from what i understand kuna namna nyingi za kuondoa stress na zinadiffer from one person to another. Bahati mbaya am not that much fond of phones siku hizi nikitoka job natupa simu huko and naweza kuisahau mpaka kesho yake. Talking to her wouldn't kill my stress believe me......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…