SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
hili jamvi ni watu waliojaa chuki tu, hamna lolote la kuanguka wala kutetereka, ndio maan wengi wamelihama, hamtaki
maendeleo ila uzushi tu
Hivi GT alihama eti sio? au alibadilisha ID tu na bado yupo hapa hapa. Nani alikwambia JF watu wanahama kirahisi?Wengi wamelihama wakina nani? Kama ni hao wakinaGT waache waende kwa mafirauni wenzao; hapa sisi ni wasttarabu!!
Source: Press Kikwete 2010/ Mtanzania 21 Oct. 2010
JK alikuwa anaenda chini nini, akawahi kushika meza? Ingekuwa Mwananchi kaweka picha hii front page kama alivyofanya Mtanzania ingekuwa ni uchochezi? Ila akifanya Roastam Aziz sio?
Kila nikiangalia kila siku nywele zake ni nyeusi. Hivi JK hana mvi?
Dada Subira (kwa mujibu wa jina) ngoja tu baada ya Okt 31 mbona midomo itawafunga watu humu...
Usishangae kuona ukitafuta jf.com ukipelekwa ipp/michuzi blogs. Subiri siku chache sana zimebaki
Kwa umati huu Mh Slaa hawezi kukanyaga hapa.
Tunashukuru kwa kutuletea uhondo, maana umati huu wengine tusingeuona. Kumbuka Lindi+ Mtwara +Ruvuma + Pwani, mikoa hii Mh Slaa hapati kitu kabisaaaaaaaaaaaaaa!