jcb
JF-Expert Member
- Jul 6, 2010
- 280
- 66
Hivi punde nimetokea mitaa ya kati kuutafuta mchana mwema, hapa NMB morogoro Rd. branch kuna foleni kubwa ndani kiasi kwamba Binti mmoja ameshindwa kuhimili amedondoka na kuzirai hivi nimepishana na wasamaria wema wamembeba wana muwahisha APOLO Hosp. iko jirani kabisa na benki hii.
Kweli kuna umuhimu wa benki hii kuboresha huduma zake!!!!!
Kweli kuna umuhimu wa benki hii kuboresha huduma zake!!!!!