Duh! Poleni Watz kumbe ndege iliyokamatwa hutumika na mkulu na imemkwamisha kwenye safari zake za kimataifa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wameukimbia uzi Sasa Manyang'au ngojeni nyuzi Kama kumi hivi kuanzishwa ama kutufuliwa ilimradi huu usahaulike ila ATCL Mimi mwasiti sitasahau. joto la jiwe eliakeem na Wadanganyika wengine sitakoma kuwakumbusha...bure kabisa nyinyi.
 
Kwani wakati mnawasaidia kupigania Uhuru mliwaambia kuwa tutakuwa tuanavunja hata Sheria za nchi yenu kadiri tunavyotaka so mtulie Tu! Ni Sawa mtu kakutafutia kazi alafu kila mwezi anakuja umpe sehem ya mshahara kama shukrani ya lazima Kwa kukutafutia kazi,Sisi wabongo akili finyu tulio wengi,ajabu na watu wakaandamana kabisa kudai ndege iachiwe kisa tuliwasaidia kugombea uhuru
 
Alafu kwa uongo hamna zaidi yenu. S.Africa ilipata uhuru Mei 31, 1961. Tz ikapata uhuru miezi saba baadaye, Desemba 9, 1961. Inamaana kwamba mliwasaidia S.A kupata uhuru wakati bado mlikuwa chini ya minyororo ya ukoloni wa mabeberu?
 

Mabango yao waliandika ujumbe wa kukumbushia walivyoikomboa Afrika



 
Alafu kwa uongo hamna zaidi yenu. S.Africa ilipata uhuru Mei 31, 1961. Tz ikapata uhuru miezi saba baadaye, Desemba 9, 1961. Inamaana kwamba mliwasaidia S.A kupata uhuru wakati bado mlikuwa chini ya minyororo ya ukoloni wa mabeberu?
 
Nikisema hawa watu hawana huwa wanafeel vibaya. Now see how their advocates are embarrassing themselves. Niliskia government spokesman akisema ati mawakili Wametoa hoja Tatu nzito. Kama hizi nd'o hoja nzito then majirani wanataka maombi[emoji23][emoji23][emoji23]

 
Dah! Mawakili wanaomba waonewe huruma ndege iachiliwe. Kwasababu eti humo ndani kuna document za siri, za rais, ambazo zinaweza zikavuja. [emoji38][emoji38][emoji38] Wabongo buana!
 
Dah! Nimezuiwa kabisa kukomenti kuhusu hii ndege
One more step
Please complete the security check to access jamiiforums.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…