Duh! Umaarufu wa rais Magufuli umeshuka 41% kwa miaka miwili

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Watz huku JF hutumia nguvu nyingi sana kutuaminisha awamu hii ndio maarufu zaidi ya zote, lakini utafiti umefanywa wa ndani na kuonyesha picha tofauti.

---------------------------------------------------------------

Dar es Salaam. President John Magufuli’s popularity rating has plummeted by 16 per cent from 71 per cent in 2017 to 55 per cent this year, the latest Twaweza report shows.

Releasing the findings of the Voice of Citizens on Thursday, July 5, Twaweza executive director Aidan Eyakuze said citizen's approval of the performance the president has gone down by a total percentage of 41 since 2016 when the rating stood at 96 per cent.

The report collected opinions from 1,241 respondents from Tanzania Mainland using mobile phones.
Magufuli popularity rating falls by 41 pc in the last two years
 


Sawa, sasa tupe na Uhuru Kenya pia anakubalika kwa kiasi gani?
 

Ngoja uone hio 'Voice of Citizens' ikifungwa na our favourite dictator.
 
Mimi nilishamsemavibaya sana Magufuli na wala sishangai hili.

Nashangaa tu hao 55% wana ukoma gani wa ubongo?

Nimeona hapo kwenye utafiti kwamba wasiokua na elimu 58% ndio wanakubali na pia wazee wengi.
 
Bora msikilize haya kabla hamjadakia





Ila twaweza huwa watu wa kwenda na kutafuta kiki tu.. wanakaa wanatunga.. kuna nani amewahi jibu maswali yao ya utafiti?

 
to hell with your statistics!To me, mr president Magufuli is one of the kind, and our beloved Tz is so much blessed to have such presidency! I dont need twaweza or twashinda to tell me anything concerning what I can vividly see and touch about what is happening under Magufuli as the president. Walioulizwa ni wengi wao ni chadema tu, na wachumia tumbo/fisadi ndio maana inaonekana kushuka, uhalisia bado yupo juu sana! Huu ni utawala wa aina yake...I am so proud to be Tzan! God bless Magufuli our president, God bless our country.
 
Bora msikilize haya kabla hamjadakia





Ila twaweza huwa watu wa kwenda na kutafuta kiki tu.. wanakaa wanatunga.. kuna nani amewahi jibu maswali yao ya utafiti?


Polepole nae kwa mtu mwenye akili timamu unakaa unamsikiliza??? Kama polepole peke yake ndie aliyempigia kura basi kaa umsikilize mwenyewe otherwise tafuta maana ya “the voice of citizens “ ukiipata toa huu ushuzi hapa.
 
Bora msikilize haya kabla hamjadakia





Ila twaweza huwa watu wa kwenda na kutafuta kiki tu.. wanakaa wanatunga.. kuna nani amewahi jibu maswali yao ya utafiti?

Hao hao twaweza wakisema anakubalika kwa 90% mnachekelea mpaka jino la mwisho!
mkiambiwa anakubalika kwa 55% mnawaona wabaya!

Na Bado kufikia 2020 Atakua amefikisha 5%
 
hahahahahahh twaweza hiiihiii ya bongo au kuna twaweza nyingine

kama ni nyingine basi itakua ya mabepari kama itakua ya bongo basi kinyago ulichokichonga kamwe hakitokitosha
 
Hao hao twaweza wakisema anakubalika kwa 90% mnachekelea mpaka jino la mwisho!
mkiambiwa anakubalika kwa 55% mnawaona wabaya!

Na Bado kufikia 2020 Atakua amefikisha 5%
Haaahaa haaa mkuu Ngushi nimecheka sana.Yaani wanaLumumba wanataka Simplex/One way Traffic and Not Duplex/Two way traffic!
 
Tatizo mtu hajui tofauti ya "one of a kind" na "one of the kind".

Hata asipojua tofauti ya uongozi bora na abracadabra sitashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…