Duh! Umaskini kitu mbaya, licha ya maafa ya juzi, Wabongo bado wanaiba mafuta kwenye ajali ya lori

Duh! Umaskini kitu mbaya, licha ya maafa ya juzi, Wabongo bado wanaiba mafuta kwenye ajali ya lori

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Watu wamesha kata tamaa ya maisha, yaani mtu anaamua liwalo na liwe, vyuma vimekaza, fursa ikipatikana anaichangamkia tu, kama wa kufa afe au apone.

 
Na bado hata kama Raisi awe malaika haitafuta ukweli wa neno la Mungu kuwa "asiyefanya kazi na asile".

KUMBUKA:

Mbingu na nchi zitapita lakini kamwe neno lake Mungu lililonenwa halitapita bila ya kutimia, fanya kazi kwa bidii mambo mazuri yako mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom