Duh! Wabunge Wetu Bwana

Hapo kaandika kama mbunge au shabiki wa Simba?
Kama kushangaa kauli, angejifunza kushangaa kauli za Mzee wa "fulasituesheni" kwani hazilingani na mkulu bali labda mcheza bongo movie
 
Kawaida iyo mkuu..sio kila siku uongee mambo deep .... Btw katumia lugha ya kiswahili inayoeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…