Duh.. Wadau nitatoka kweli?

Brother

Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
63
Reaction score
6
wana jf, kwa mtu anayejua mshahara wa mwalimu anaoanza nao pale anapotoka chuoni. (Bacherol of science with education). NAOMBA ANIAMBIE
 
wana jf, kwa mtu anayejua mshahara wa mwalimu anaoanza nao pale anapotoka chuoni. (Bacherol of science with education). NAOMBA ANIAMBIE
Somo gani?? kama ni Maths,na unakamua mzigo wa ukweli,madenti wakakukubali,sioni haja ya kusubiria posts za serikali! Hapo utalipwa mpaka 900,000 mpaka 1,000,000 ni wewe tu unajiwekaje!!!!
 
Somo gani?? kama ni Maths,na unakamua mzigo wa ukweli,madenti wakakukubali,sioni haja ya kusubiria posts za serikali! Hapo utalipwa mpaka 900,000 mpaka 1,000,000 ni wewe tu unajiwekaje!!!!
Kaka sina Masters ndo kwanza bachelor maana huo mshahara ni km wa dhahania, thn masomo ni CHEMISTRY & BIOLOGY.
 
Mdau unaanza na TGTS D 1 ni 469,00/= kabla hawajakata wakikata unabaki na kama 380,00/= na kitu hivi.
 
Mdau unaanza na TGTS D 1 ni 469,00/= kabla hawajakata wakikata unabaki na kama 380,00/= na kitu hivi.

huo ni mshahara wa house gal au mwalimu,acha masihara wewe!
 
Maisha si vita. Ni mapambano mpaka mwisho. Hakuna haja ya kukata tamaa kisa mshahara mdogo. Njoo kazini kwanza, utajifunza njia mbalimbali za kukuingizia mapato. Kama kweli una nia ya kutengeneza pesa, hamna haja ya kukata tamaa.
Tatizo ninyi mnataka mtengenezewe pesa, mlipwe mshahara wa mikubwa tu,hamfikirii ni namna gani nitatumia niongeze kipato changu.
TUBADILIKE.
 
Kweli bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…