Duh.. Wadau nitatoka kweli?


Maisha ni vita mkuu,umechapia au typing error!!!
 
Jaman usijishaue hapa watu wanatafuta maisha unawakatisha tamaa vip mshahara wa house girl mmh haayaa, 4 real mshahara mdogo but kuna alternative nyingi za kuongeza kipato kuliko kukaa bila kaziii jamann??? U just go bwana katulie usibweteke... huo huo mshahara jibane tafuta mradi wowote U CAN....
 
mshahara wa mwl. Wa degree ni tgts d1 ambao ni jiwe 469,200. Makato
Pspf au lapf: 23,460
cwt: 9,384
Income tax: 50,524
Nhif/bima afy: 14,076
rcur : 47.4
Rprv : 2.6
Amount due/take home jiwe 371,800... Ila sometymz makato mengine hayakatwi,, unakamata mkononi jiwe 402,000 au 422,300........ Kama uko serious mchakato ndo huo mwl. Mtarajiwa...
serikalini matatizo kibaoooo ila faida ni
1.. Job security/ ngumu kutimuliwa kazi
2.. Ukienda soma mshahuuura unaingia kama kawa kipindi hauko kazini
3... Ukiongeza shule wanakuboost mshahara
4.. Kila mwaka kuna kanyongeza kaincrement kama 10,000 hivi plus na kupanda kajidaraja kadogo eg. D1 unaenda d2{but after 3 yrs unapanda daraja kubwa D unaenda E} etc
 
Somo gani?? kama ni Maths,na unakamua mzigo wa ukweli,madenti wakakukubali,sioni haja ya kusubiria posts za serikali! Hapo utalipwa mpaka 900,000 mpaka 1,000,000 ni wewe tu unajiwekaje!!!!

Kaka wap hyo? Mi niko tayar nipige hiyo kaz,kama bado ipo nipm mkuu
 

Kumbe hela nyingi ivo! Ngoja niendelee, bt walimu mwaka wetu wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…