MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kama kawaida yetu sisi Wakenya, huwa tunasifia mazuri ya mahali ambapo tunakwenda na kutembelea, tofauti na ndugu zetu wa Kusini ambao huishia Kibera na kupiga mapicha ya vyoo na mitaro ya maji taka kila wakija Kenya, wengine wanaishia kutafuta stand ya mabasi mara Wakenya hiki mara Wakenya kile.
Tabia za kichawi kabisa hizo, mrekebishe. Kwa kweli mtu wa hivyo hata kwangu siwezi mkaribisha maana anaishia kuwa mbea, macho anaangaza kote akitafatuta nini cha kwenda kuwatangazia Wabongo wenzie.
Nimekua na shughuli kidogo Zanzibar na nikapiga mapicha mengi tu, nita yashusha humu. Hapa naanza na chahe tu. Mapokezi ya watu wa pale ni mazuri sana, haswa wakihisi wewe mgeni.