Duh! Zanzibar patamu, nimekua pale

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kama kawaida yetu sisi Wakenya, huwa tunasifia mazuri ya mahali ambapo tunakwenda na kutembelea, tofauti na ndugu zetu wa Kusini ambao huishia Kibera na kupiga mapicha ya vyoo na mitaro ya maji taka kila wakija Kenya, wengine wanaishia kutafuta stand ya mabasi mara Wakenya hiki mara Wakenya kile.

Tabia za kichawi kabisa hizo, mrekebishe. Kwa kweli mtu wa hivyo hata kwangu siwezi mkaribisha maana anaishia kuwa mbea, macho anaangaza kote akitafatuta nini cha kwenda kuwatangazia Wabongo wenzie.

Nimekua na shughuli kidogo Zanzibar na nikapiga mapicha mengi tu, nita yashusha humu. Hapa naanza na chahe tu. Mapokezi ya watu wa pale ni mazuri sana, haswa wakihisi wewe mgeni.

 
nimependa kapeti na sofa tu hapo
 
Pitia Foradhani gardens to sample Zanzibar cuisine.
 
Bro, tell us more about Zanzibar ukipata time. i need to do a massive business tour in Tanzania. tanga-dar-zanzibar will be my places of interests. I just realized hatred is found in JF only but tanzanians nime meet nao kenya are good people. I am sorry to say but since i joined JF, i have learned less about Tanzania compared to those guys i meet in the streets.
 
hahaa..hello mr byro,welcome aboard, gotta have a think skin in here..
 
MK254 hebu pitia kule museum yao. Naambiwa kuna chui wa kipekee amabaye kwa sasa hivi hayuko tena alipatikana zanzibar tu, na wamehifadhi maiti yake kule. sijui kama kweli. piga picha hapo.
 
Nilikunywa Sugarcane Juice hapo Forodhani....Lol
 
Karibu Zanzibar na karibu katika JAMHURI YA MUUNGANO!
 
Zanzibar ni pazuri sana na watalii wengi wa nchi mbali mbali wanapapenda sana ila panaharibiwa sana hawa MACCM na uking'ang'anizi wao wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…