Duka gani ntapata battery ya Blackberry

Duka gani ntapata battery ya Blackberry

ThinkPad

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
1,844
Reaction score
235
Natafuta duka wanapouza hizo battery za blackbery kwa maeneo ya Dar es salaam
 
hizo kaka kwa dar sidhani kama utakuwa umeikosa pale sapna samora ave, basi hutaipata labda kwa nairobi zipo nyingi tu town.
 
Nenda mtaa wa Mosque kuna fundi maarufu dar nzima hakuna pia anauza simu kali zote anaitwa Muna 0754233355
 
Back
Top Bottom