luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
KAMA UNATAKA KUUA MACHO NENDA KWENYE HAYOOO MADUKA LAKINI KAMA UNATAKA KUTIBU MACHO NENDA HOSPITALI YA SERIKALI YA MKOA AU NJOO DODOMA MACKAY HOUSE AU HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA UTAFURAHIA HUDUMAWadau habari za jioni naulizia eti hapa DSM kuna duka gani wanauza miwani za macho yenye upungufu wa uwezo wa kuona,..maana kuna hospitali moja nilipimwa macho nikaambiwa niko na shida ila ss miwani zao bei kali sanaaa
Kinachoongeza gharama kwenye miwani sio vioo bali ni fremu.... Kwasasa hospital za serikali wanatoa bure ama kwa gharama nafuu kupitia msaada wa wakorea ama wajapani nadhaniWadau habari za jioni naulizia eti hapa DSM kuna duka gani wanauza miwani za macho yenye upungufu wa uwezo wa kuona,..maana kuna hospitali moja nilipimwa macho nikaambiwa niko na shida ila ss miwani zao bei kali sanaaa
Hizo fremu ni za dhahabu?Kinachoongeza gharama kwenye miwani sio vioo bali ni fremu.... Kwasasa hospital za serikali wanatoa bure ama kwa gharama nafuu kupitia msaada wa wakorea ama wajapani nadhani
Sio lazima ziwe za dhahabu kuna material tofauti na fashion piaHizo fremu ni za dhahabu?
Nenda hosptlWadau habari za jioni naulizia eti hapa DSM kuna duka gani wanauza miwani za macho yenye upungufu wa uwezo wa kuona,..maana kuna hospitali moja nilipimwa macho nikaambiwa niko na shida ila ss miwani zao bei kali sanaaa
hapa DSM kuna hospital moja inaitwa the international eye hospital wana miwani nzuri ila bei ss ndio kipengele ..je hapo dodoma hao jamaa bei zao ziko vepe au kama una contact zao embu shareKAMA UNATAKA KUUA MACHO NENDA KWENYE HAYOOO MADUKA LAKINI KAMA UNATAKA KUTIBU MACHO NENDA HOSPITALI YA SERIKALI YA MKOA AU NJOO DODOMA MACKAY HOUSE AU HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA UTAFURAHIA HUDUMA
Bei yao Ni nzuri na la msingi sio Bei TU ndio wataalamu Bora wa upimaji macho na miwani wanapopatikana.Si unajua Dom ndo inaongoza kwa magonjwa ya macho na yasababishayo upofu EA?hapa DSM kuna hospital moja inaitwa the international eye hospital wana miwani nzuri ila bei ss ndio kipengele ..je hapo dodoma hao jamaa bei zao ziko vepe au kama una contact zao embu share