Duka Jipya la Nguo za kika mama na watoto Mbezi Louis

Duka Jipya la Nguo za kika mama na watoto Mbezi Louis

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Habari njema kwa wakazi wa Mbezi, kimara, Kibamba, Kibaha. Usihangaike tena na foleni kwenda mjini kufanya shopping. Sasa nguo za kina mama na watoto zinapatikana Mbezi Louis kwenye duka letu jipya kabisa. Ziko za aina na size tofauti - pia bei zetu ni nzuri.
Unakaribishwa - fika upate huduma yenye kujali mteja.
Kwetu mteja ni mfalme.
Kwa mawasiliano zaidi
Piga 0659 62 48 48 au tuma email kwenda metrosuppliestz@gmail.com
 
Mkuu mbezi luis sehemu gani?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Tupo karibu na njia panda ya kwenda maramba mawili. Unaweza kuwasiliana nasi kwenye namba iliyowekwa hapo kwa maelekezo mazuri. Karibu sana.
 
Ni Mbezi upande wa kushoto kama unatoka mjini. Sehemu inaangalia morogoro road, kabla ya njia panda ya marimba mawili karibu na duka la matenki makubwa ya maji.
 
Back
Top Bottom