Habari njema kwa wakazi wa Mbezi, kimara, Kibamba, Kibaha. Usihangaike tena na foleni kwenda mjini kufanya shopping. Sasa nguo za kina mama na watoto zinapatikana Mbezi Louis kwenye duka letu jipya kabisa. Ziko za aina na size tofauti - pia bei zetu ni nzuri.
Unakaribishwa - fika upate huduma yenye kujali mteja.
Kwetu mteja ni mfalme.
Kwa mawasiliano zaidi
Piga 0659 62 48 48 au tuma email kwenda metrosuppliestz@gmail.com
Ni Mbezi upande wa kushoto kama unatoka mjini. Sehemu inaangalia morogoro road, kabla ya njia panda ya marimba mawili karibu na duka la matenki makubwa ya maji.