Habari za humu wana jamii,
Kuna duka moja la nguo na vitu vingine vya kıume lilikikuwa mtaa wa ZANAKI mjini Dar es salam limehamishwa/ kufunhwa naomba kujua anaefahamu wamehamia wapi au duka lingine ambalo naweza kupata vitu kama vya AK’s FASHION
Shukrani