Duka la AM Grain Store tunauza nafaka bora jumla na reja reja kwa bei nafuu

Weweee unaposema viroba umenikumbusha mbali aiseeee...

Hivi unajua kazi ngumu ndo zinaongoza kwa mishahara ya kisheeeenziiiiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
🀣🀣🀣,Leo Sina raha na simu macho yananiuma sana,,
Nitarudi uniadithie🀣
 
Kipindi nasoma chuo nilianza biashara ndogo online, miaka hiyo ukipost kitu lazima uuze, mteja akiniomba animuandikie vitu alipie nachangamka kama nimetiwa ndimu!

Vijana sikuhizi sijui mkoje tu.
Titapigana humu ndani ujue πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hongera sana mkuu,nitakuwa mteja wako mkubwa hapo,""Piga kazi acha zungusha mikono ya chadema""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…