Habarini,
jamani najua kwenye jukwaa kuna
watu wenye fani mbali mbali humu
ndani. Mimi nina wazo la kufungua
Duka la Dawa mkoani Singida.
Nahitaji anaye fahamu utaratibu WA
kufungua duka hili anipe mawazo
juu ya utaratibu wa ufunguzi Wa
duka hili. Pia kwa anayejua maduka
yanayouza dawa za jumla kwa bei
nafuu hapa Dar es salaam hata
mawasiliano ya maduka hayo pia.
Natanguliza shukrani zangu za Dhati
kwa mawazo yenu mbalimbali ili
niyafanyie kazi
jamani najua kwenye jukwaa kuna
watu wenye fani mbali mbali humu
ndani. Mimi nina wazo la kufungua
Duka la Dawa mkoani Singida.
Nahitaji anaye fahamu utaratibu WA
kufungua duka hili anipe mawazo
juu ya utaratibu wa ufunguzi Wa
duka hili. Pia kwa anayejua maduka
yanayouza dawa za jumla kwa bei
nafuu hapa Dar es salaam hata
mawasiliano ya maduka hayo pia.
Natanguliza shukrani zangu za Dhati
kwa mawazo yenu mbalimbali ili
niyafanyie kazi