Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
je ktk jiji la mwanza duka la kuaminika la dawa za mifugo na kilimo linapatikana mtaa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimsingi hakuna. Na hasa dawa za tiba na chanjo za Kuku zote ni Feki sijui wanaweka Juice, na za Kwny pakiti wanaweka Unga wa ngano ulochanganywa na Food Colour. Unachanja kuku Lakini kila cku unaokota kuku alokufa Bandani
je ktk jiji la mwanza duka la kuaminika la dawa za mifugo na kilimo linapatikana mtaa gani?
Mkuu kwema? Pamoja na majibu mazuri uliyopata, je uliweza kupata Duka? Ninauliza hivyo kwa kuwa kuna jamaa yangu hapo Mwanza anajipanga kuingia kwenye ufugaji Kuku. Anajipanga kuanza na Kuku wa Nyama baadae kupanuka na kuelekea Kuku wa Mayai na Kienyeji.
Kama ulipata Duka, naomba unielekeze ili tumsaidie jamaa!
Shukrani!