Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,448
car and General supply wapo kariakoo, ckumbuki wapo mtaa gani search Fb hilo jinaWakuu salaam!
Naomba kufahamishwa mahali ambapo naweza pata duka la jumla la spea za bajaji aina ya TVS King kwa hapa Dar es salaam.
Natanguliza shukran zangu.
Nenda Posta mpya karibu na ofisi za posta utazikuta ofisi zaoWakuu salaam!
Naomba kufahamishwa mahali ambapo naweza pata duka la jumla la spea za bajaji aina ya TVS King kwa hapa Dar es salaam.
Natanguliza shukran zangu.
Nashukuru mkuu nimepata info zao Facebook kama ulivoeleza, Bidhaa ninazotaka wanazo. Thank youcar and General supply wapo kariakoo, ckumbuki wapo mtaa gani search Fb hilo jina
Shukran sana kiongoziNenda Posta mpya karibu na ofisi za posta utazikuta ofisi zao
Aisee km utakuwa na mawasiliano ya hao watu naomba tafadhali.Nenda Posta mpya karibu na ofisi za posta utazikuta ofisi zao