Unaweza kuanza na bidhaa chache.
Fanya kautafiti kadogo ujue bidhaa gani zinatoka sana huko uanze nazo baadae unapanua operations zako.
Ila kwa haraka haraka unaweza kuanza na vyakula la uuze kwa bei ya chini kidogo kuwavutia watu wasiende mbali zaidi waje kwako tu.