Duka la kilimani Pharmacy -Moshi mjini linauza "SUMU"

wahi haraka sana. Mahakama ipi hiyo?? Ya peponi au? Usiharibu biashara za watu kama una ushahidi tuoneshe na siisi au andika hata jina la dawa tujue
 
Ndugu zangu salam!

Yamenikuta mwenzenu.

Nimenunua dawa kilimani Pharmacy wiki iliyopita terehe 21/2015.. dawa za matumizi ya mwezi mzima!

Leo,nikaamua kupitia pitia "pakti" ya dawa vizuri,heeeeeee!Mungu mkubwa maana nilichokiona kimenipa mshtuko wa hali ya juu,..

Dawa zimeandikwa zina-expire mwezi wa 04/2015.

★Sasa nataka nitoe fundisho kwa wauzaji wa dawa zilizopitwa na wakati,dawa zilizo expire!!!

★Nataka nifungue kesi mahakamani.

Umeshafail kiushahidi,ungekuwa serious ungefuata taratibu kimya kimya ili kutompa nafasi mshukiwa kuondoa ushahidi! Mbili ni kosa kutoa kauli kubwa hivi ukimtaja wazi mshukiwa bila kuweka vielelezo visivyoacha shaka, perhaps mna mgogoro wa kimaslahi who knows!
 
Mbona hakuna tatizo hapo. Walikuuzia dawa kabla ya mwezi April na wewe utatumia mwezi mzima means Utamaliza dozi ndani ya mwezi April, so still the dawa itakuwa bado viable.

Otherwise kama unadhani kufika April itakuwa imeexpare basi ni kosa la kawaida sana kwa muuza dawa na wala sio issue kubwa sana kama ulivyo raise hapa.

The Kilimani Pharmacy is one of the biggest and Best Pharmacy here in Tanzania, unachotaka kufanya ni kuogopesha wanunuzi unnecessary, wakati unajua kabisa things kama hizo ni technical issue ambazo ni common sana.
 
Duuuh heading yako ni very serious halafu sioni kitisho cha hivyo...unajua kweli ni makosa lakini pia ni binadamu pengine wamepitiwa hawajakagua dawa karibuni ndio maana...halafu pia wewe mnunuaji hichi ni kitu cha kwanza unatakiwa kucheki si kwa dawa tu hadi bidhaa zingine mi nshawahi nunua blue band kwa shoga angu kabisa nikapitiwa sikuangali nafika nyumbani nacheki imeexpire nikarudi nikamuambia shoga angu basi akazikagua akakuta ile stock yote akaitoa lakini siwezi sema shoga alitaka kunidhuru...kwa hiyo kweli umekasirika na una haki lakini sidhani kama ni makusudi...nasikia ni the best pharmacy...sijawahi kwenda but things happen..haya mimi nimenunua dawa kibox nikakuta zimeshanyweka kama nne sasa do I make a deal out of it noo..sometimes sort it politely ila wakikujibu nyoko ndio uwapandie juu...
 
I have had of the owner too he is a good man just face him...unajua kwenye hii dunia nimejifunza ukifanya kila kitu.kesi utaishi a very stressing life maana utakutana na watu ambao wao ndo wanazipenda sasa na hizo safari za mahakamani na hela juu duuh utachoka wewe nenda wajulishe na wasikilize wanakuhudumiaje!!maana sawa hata ukishindwa kesi ikifungwa kupata pharmacy ingine ya kueleweka itakuwa kazi pia
 
Ok,nimekupata
 
Mbona hakuna tatizo hapo. Walikuuzia dawa kabla ya mwezi April na wewe utatumia mwezi mzima means Utamaliza dozi ndani ya mwezi April, so still the dawa itakuwa bado viable.

Otherwise kama unadhani kufika April itakuwa imeexpare basi ni kosa la kawaida sana kwa muuza dawa na wala sio issue kubwa sana kama ulivyo raise hapa.

The Kilimani Pharmacy is one of the biggest and Best Pharmacy here in Tanzania, unachotaka kufanya ni kuogopesha wanunuzi unnecessary, wakati unajua kabisa things kama hizo ni technical issue ambazo ni common sana.

Wala hiyo isikupe taabu maana dawa ikishaandikwa 4. 2015 Maana yake ina expire tarehe 31. 4.2015 kwa hiyo hiyo dawa haina tatizo lolote
 
dawa bado hizo mwezi wa 4 haujaisha au umeona kuna tarehe 1 hapo
 
Umeshafail kiushahidi,ungekuwa serious ungefuata taratibu kimya kimya ili kutompa nafasi mshukiwa kuondoa ushahidi! Mbili ni kosa kutoa kauli kubwa hivi ukimtaja wazi mshukiwa bila kuweka vielelezo visivyoacha shaka, perhaps mna mgogoro wa kimaslahi who knows!

Una panic tu bure hizo dawa hazina shida kabisa expired date Ya dawa huwa inahesabiwa mwishon mwa hiyo mwa mwez mfano dawa zako zimeandikwa 4/2015 maana yake ni tarehe 31/4/2014 . Na wew umenunua dawa tarehe 21/3/2015
Kwa hiyo bado dawa iko active . Kwa hiyo ondoa wasiwasi mkuu
 
Jifunze kumquote mhusika mkuu aliyetoa maada....unasema nimepanic vipi wakati aliyeleta maada ni mwingine?
 
Back
Top Bottom