Kumshauri aache hii biashara pasipo kuangalia business model yake ni kumkatisha tamaa. Kama kama unaona una solid proposal nakushauri ukomae.
Mimi nadhani hii biashara ya movie sababu tuu wengi mnaotazama mnaangalia juu juu. Lakini hapa kuna opportunity kubwa sana. Nitakupa mfano, kisha nitakwambia why am not interest.
Kuanzisha kiosk cha movie lazima uwe na maono ya mbele, kumbuka dunia inapokwenda viosk haviwezi kuwa na deal, so dawa kuwakatia denge mbele kwa mbele, how? Kama unaweza tengeneza website ambayo ipo advance, kisha kamata server za kutosha, kisha nunua license za kuonyesha movie zao kwenye web base with a promise of paying royalty on monthly basis. Mfano, unakubaliana na kampuni yenye right za movie kwamba kama mtu atazama movie at the portal i will pay 7%. Then wewe una hussle kuregister watu kwenye web portal yako ambao watakulipa monthly payment ya kutazama movie either unlimited or kwa package. Hii unaweza kufanya partnership na watu wa ving'amuzi ukawa una link customer wako through this partnership.
I think this is very realistic. Why I am not doing? I am a big religious believer and most of this movie destroy our society. So, this is more from a moral basis.