Second Lieutenant
Senior Member
- Jan 13, 2014
- 143
- 25
Habari wadau wote,
Nataka kufungua duka la kuuza madawa ya mifugo ila kwa sasa nataka niweke ya kuku kwanza,mtaji wangu ni mdogo kama 3M (milion tatu ),tayari nimeshalipia fremu.Garama ni kununua hayo madawa,naomba wenye experience ya madawa ya kuku,with 3 million naweza pata mzigo wa kuanzia.Je ni wadawa gani ambayo mara nyingi huitajika,garama per box ikoje?
Asanteeni sanaa.