Duka la Madawa ya Kuku

Second Lieutenant

Senior Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
143
Reaction score
25
Habari wadau wote,

Nataka kufungua duka la kuuza madawa ya mifugo ila kwa sasa nataka niweke ya kuku kwanza,mtaji wangu ni mdogo kama 3M (milion tatu ),tayari nimeshalipia fremu.Garama ni kununua hayo madawa,naomba wenye experience ya madawa ya kuku,with 3 million naweza pata mzigo wa kuanzia.Je ni wadawa gani ambayo mara nyingi huitajika,garama per box ikoje?

Asanteeni sanaa.
 
Nikiwa Kama Mdau Mkubwa Wa Lugha Adhimu Ya Kiswahili Japo Ni Mnyarwanda Hakuna Kiswahili Cha MADAWA Bali Kiswahili Fasaha Kabisa Ni Duka La Dawa.
 
Nikiwa Kama Mdau Mkubwa Wa Lugha Adhimu Ya Kiswahili Japo Ni Mnyarwanda Hakuna Kiswahili Cha MADAWA Bali Kiswahili Fasaha Kabisa Ni Duka La Dawa.

Nashukuru sana,but hoja yangu umeisoma,nilidhani utaweka neno la mchanganuo zaidi ya lugha uliyoiona ni tofautii
 
Nikiwa Kama Mdau Mkubwa Wa Lugha Adhimu Ya Kiswahili Japo Ni Mnyarwanda Hakuna Kiswahili Cha MADAWA Bali Kiswahili Fasaha Kabisa Ni Duka La Dawa.
Kumbe wewe nni mnyarwanda tunashukuru kwa utambulisho.... Hata hivyo upo sawa kabisa hakuna madawa bali daws
 
Kumbe wewe nni mnyarwanda tunashukuru kwa utambulisho.... Hata hivyo upo sawa kabisa hakuna madawa bali daws

Napenda Mno Kucheza Na Akili Zenu Na Nafurahi Sana Mnavyoingia Mkenge. Ila Mbona Na Wewe Sasa Umetuletea Msamiati Mpya Wa Badala Ya Madawa Nawe Sasa Umekurupa Na Daws? Vipi Umeamka Nazo Nini Asubuhi Hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…