Duka la spea za pikipiki, vifaa vya bomba au Hardware (vifaa vya ujenzi nyumba)

Duka la spea za pikipiki, vifaa vya bomba au Hardware (vifaa vya ujenzi nyumba)

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
724
Reaction score
554
Habar za kwenu wana JF.

Naomba kujua kuhusu biashara hizi duka la spea za pikipiki, vifaa vya bomba au vifaa vya ujenzi (hardware) uzuri, ubaya, faida, hasara na mtaji wa biashara hizi.

1620739186674.png

 
Tafadhali mwenye uzoefu tusaidiane mana nna mpango wa kufungua duka la spear za pkpk
 
Sijajua kuhusu vifaa Vya Pikipiki, Ila kwenye vifaa Vya bomba Nina idea. Hii biashara ni nzuri shida Mtaji tu, maana ili uuze sana inabidi uwe na bidhaa nyingi, Mtu Alija asikose kitu, Ukiweka Pipe zote za ips, pvc, ppr nk size zote ukachanganya na fittings nyingine na ukawa na eneo zuri utauza sana. Wengi wanakuja kariakoo kununua as mtaani hawapati fittings zote.
 
Sijajua kuhusu vifaa Vya Pikipiki, Ila kwenye vifaa Vya bomba Nina idea. Hii biashara ni nzuri shida Mtaji tu, maana ili uuze sana inabidi uwe na bidhaa nyingi, Mtu Alija asikose kitu, Ukiweka Pipe zote za ips, pvc, ppr nk size zote ukachanganya na fittings nyingine na ukawa na eneo zuri utauza sana. Wengi wanakuja kariakoo kununua as mtaani hawapati fittings zote
Asanteee
 
Back
Top Bottom