Majibu yatoe tujifunzeNipm
Hanaweza kumzidi keteMajibu yatoe tujifunze
Utajibu PM ngapi boss wangu?Nipm
Mkuu ushanusa fursa hapa, haya bwana.Nipm
AsanteeeSijajua kuhusu vifaa Vya Pikipiki, Ila kwenye vifaa Vya bomba Nina idea. Hii biashara ni nzuri shida Mtaji tu, maana ili uuze sana inabidi uwe na bidhaa nyingi, Mtu Alija asikose kitu, Ukiweka Pipe zote za ips, pvc, ppr nk size zote ukachanganya na fittings nyingine na ukawa na eneo zuri utauza sana. Wengi wanakuja kariakoo kununua as mtaani hawapati fittings zote