Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Nimepata wazo la kufungua duka litakalouza vifaa vya urembo kwa wakina Dada (cosmetics) maeneo ya Mbezi ya kimara au Kibaha. Nimewaza kuweka perfume mbali mbali! Mafuta ya kupaka, lotion, sabuni za manukato, rangi za kucha.
Je nahitaji kuwa na mtaji wa kiasi gani!?
Kariakoo nitapata bidhaa kwa bei nafuu!? Au niende Zanzibar!?
Sina idea ya biashara wala sijawahi kufanya. Naomba mnipe experience zenu wakuu!?
Je nahitaji kuwa na mtaji wa kiasi gani!?
Kariakoo nitapata bidhaa kwa bei nafuu!? Au niende Zanzibar!?
Sina idea ya biashara wala sijawahi kufanya. Naomba mnipe experience zenu wakuu!?