Duka la viatu vya kiume

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wakuu,

Nahitaji kufungua duka kwaajili ya kuuza viatu vya kiume, walengwa ni vijana wenye umri wa kuanzia miaka 15 mpaka miaka 35.

Hivyo naombeni ushauri wenu, ni jina gani litafaa kwaajili ya duka langu. Ukizingatia nimelenga vijana wa mjini (masharobaro). Mimi nilifikiria jina la Miguu Classic, ushauri please

Karibuni sana kwa mawazo yenu
 
Vipi kuhusu Foot Point haiwezi kuwa vizuri, au itakuwa kama Food Point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…