Duka la vifaa vya keki kwa Dar au Mwanza

Mwanza.Lumumba pale kwa vunja bei chini yake kwenye maduka ya simu hapo ulizia watakuonyesha. Pengine ulizia mgahawa wa chake chake ulipo ukifika ulizia wanapouza keki hapo huwa wanauza na vifaa vyake
Kwa anayejua,naomba contacts za duka linalouza vifaa vya keki kwa Mwanza au Dar es salaam.
 
Mwanza.Lumumba pale kwa vunja bei chini yake kwenye maduka ya simu hapo ulizia watakuonyesha. Pengine ulizia mgahawa wa chake chake ulipo ukifika ulizia wanapouza keki hapo huwa wanauza na vifaa vyake
Leo nitaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…