Duka la vifaa vya simu

Jack02

Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
6
Reaction score
0
Mimi ni kijana nataka Kufungua duka la vifaa vya simu niko Iringa ila sijui wapi nitafungashia mzigo.
 
Nichek mim 0654574563. .pia nina uzi zangu humu unaweza kuziangalia..nipo kariakoo agrey street
 
Vijana wenzio waliopo hapo Iringa wao wanachukulia wapi?
 
Nimejaribu kuwafata na kuwadadisi ila watanzania niwatu tunaopenda sifa unakuta duka linamtaji mdogotu ila anasema nafangashia Dubai
 
Hauko serious na biashara na usipoangalia watakutapeli.. kua makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…