Duka la vipodozi: Tofauti na Kariaoo, location ipi itanipatia mauzo makubwa Dar es Salaam?

Duka la vipodozi: Tofauti na Kariaoo, location ipi itanipatia mauzo makubwa Dar es Salaam?

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
306
Reaction score
706
Happy new year everyone.

Kutokana na budget yangu sitakidhi kodi na vilemba ya k.koo.

Ila bado budget yangu inakidhi kufunga mzigo nje ya nchi na kufungua duka lililo sheheni bidhaa nyingi na kisasa za cosmetic.

Sehemu gani Dar es Salaam, nikifungua hii biashara sitauza sura tu bali kuzungusha faida nzuri tu.

Nawasikilizia wakuu........................................................................
 
Mbagala pia maan mzunguko ni watu .Tathimin tofaut na umati wa k koo upi mwingne waridhisha
 
Back
Top Bottom