Duka la vitabu vya sheria

Ngoiva

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
235
Reaction score
44
WanaBodi naombeni msaada. Maduka yanayouza vita vya SHERIA kwa MOSHI na ARUSHA ni wapi. Ninavihitaji sana.
 
Huko Moshi na Arusha hivyo vitabu vya sheria viuzwe ili wanunuzi wakasome sheria chuo gani?!.

Kwa kukusaidia tuu, wauza vitabu ni wafanya biashara hivyo wataweka vitabu vitakavyo nunulika na wateja wao.

Kwa vile Watanzanzania hatuna utamaduni wa kujisomea, maduka ya vitabu hawaweki professional books sehemu ambako hakuna chuo cha sheria.

Wanunuzi wakubwa wa vitabu ni wanafunzi wa somo husika, ambapo Arusha hakuna chuo.

Nenda Case Bookshop Uhuru Rd pale jirani na Meru Pharmacy utaweza kupata Law Reports ila wana catalog ukilipia wanakuagizia special order, hivyo ndivyo wafanyavyo mawakili wa Arusha.

Its cheap ukija Dar, maduka kibao. Duka kubwa la vitabu vya sheria ni liko pale kona ya Nkurumah na Mnazi Mmoja opposite na Co- Cabs.
 
Its cheap ukija Dar, maduka kibao. Duka kubwa la vitabu vya sheria ni liko pale kona ya Nkurumah na Mnazi Mmoja opposite na Co- Cabs.

Duka kinaitwa The Textbook Centre, utapata vitabu vingi vya sheria kwa wanafunzi na professionals, kama hutapata choise yako unaweza kutoa order na wakakupa muda wa kucheki nao. angalizo bei iko juu kidogo lakini usitishike
 
vimiji hivo viwili ni vidogo zunguka mwenyewe utafute
 
Duka kinaitwa The Textbook Centre, utapata vitabu vingi vya sheria kwa wanafunzi na professionals, kama hutapata choise yako unaweza kutoa order na wakakupa muda wa kucheki nao. angalizo bei iko juu kidogo lakini usitishike
Ngambo Ngali, asante kwa jina la duka, niliogopa kumwambia bei ili afike mwenyewe aone!. Bei sio juu kidogo, bei iko juu!.
 
Ngambo Ngali, asante kwa jina la duka, niliogopa kumwambia bei ili afike mwenyewe aone!. Bei sio juu kidogo, bei iko juu!.

" Ukitaka kujua gharama ya Elimu jaribu ujinga" Julius Kambarage Nyerere

Pasco, Elimu haina gharama.

Unachanga laki mbili kwa ajili ya harusi, unaogopa kununua kitabu cha elfu sabini!!!!!! Perfume ya laki na nusu, kitabu cha elfu hamsini unaogopa!! Mtoko wa usiku klabu laki tatu kununua kitabu cha laki mbili issue!!!!

Tubadilike.
 
WanaBodi naombeni msaada. Maduka yanayouza vita vya SHERIA kwa MOSHI na ARUSHA ni wapi. Ninavihitaji sana.
vitabu vya sheria MOshi na arusha, nenda duka la KASE BOOK STORE Lipo Arusha mtaa wa bomani, ni duka kubwa kuliko yote na utavipata vyote pale.
 
vp kwa jiji la mbeya kuna duka la vitabu vya sheria eneo gani?
 
vp kwa jiji la mbeya kuna duka la vitabu vya sheria eneo gani?
Wataalamu wameongea, wamejibu lakini mhitaji na waelekezaji hawakufikia makubaliano ni vitabu vipi vinazungumziwa kuna law pamphlets... Caps zinauzwa na duka la Government Press Jamhuri street almost opposite building next Mkapa' tower when heading to jamhuri, upanga road round about hizo haziuzwi na wachagga sijui mnaelezaje kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…