Duka linauzwa Tabata Sigara

ALLY RIYAMI

Senior Member
Joined
May 26, 2012
Posts
115
Reaction score
15
Duka la vifaa mbalimbali na vyakula vinywaji na bidhaa za ndani linauzwa hapa Tabata Sigara, lipo eneo zuri na ni kubwa kwa thaman ya shiling millioni 8 ila maelewano yapo. Kwa kujiakikishia njoo ulione mwenyewe. Call me 0652740304.
 
hebu weka nyama bsi kwenye tangazo lako mfano taarifa zifuatazo
- hiyo milioni 8 ni pamoja na bidhaa zilizomo au ni eneo tu?
- je mnunuaji atahitaji kuingia mkataba wa pango?
- je mmiliki wapango ni wewe au mtu mwengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…