Duka linauzwa

Duka linauzwa

Fintan20

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2023
Posts
213
Reaction score
556
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania?

Duka la nguo za kiume linauzwa maeneo ya Ukonga, Lina kioo kabati za kisasa za viatu, na kodi ya miezi 4 imebaki, display board za rangi za kuwekeza viatu, meza ya kioo, pamoja na mzigo wa nguo.

Mawasiliano zaidi 0656909474.
 
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania?

Duka la nguo za kiume linauzwa maeneo ya ukonga, Lina kioo kabati za kisasa za viatu, na kodi ya miezi4 imebaki, display board za rangi za kuwekeza viatu, meza ya kioo, pamoja na mzigo wa nguo.

Mawasiliano zaidi 0656909474.
weka bei
 
Ukishaweka tangazo bila picha na bei, hakuna mtu serious atakayekutafufa. Asante.
Namba iliyopo hapo ni mmiliki unaweza kuwasiliana wapo baadhi wamempgia

Asante mkuu kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom