weka beiNawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Duka la nguo za kiume linauzwa maeneo ya ukonga, Lina kioo kabati za kisasa za viatu, na kodi ya miezi4 imebaki, display board za rangi za kuwekeza viatu, meza ya kioo, pamoja na mzigo wa nguo.
Mawasiliano zaidi 0656909474.
Shida ya madalali ndio hiiHio namba piga ni mmiliki unafika unaongea nae huwezi weka bei fixed maana kuna vitu vinaweza badilika.
Piga mkuu
Huo ni usanii ilitakiwa muwe mmeshathaminisha na kujua bei ni kiasi gani au wewe ni dalali?Hio namba piga ni mmiliki unafika unaongea nae huwezi weka bei fixed maana kuna vitu vinaweza badilika.
Piga mkuu
Nakazia.Ukishaweka tangazo bila picha na bei, hakuna mtu serious atakayekutafufa. Asante.