Duka zuri la vifaa vya michezo vya July Dar

Duka zuri la vifaa vya michezo vya July Dar

ndusu

Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
26
Reaction score
8
Habarini wana jukwaa,

Mimi ni mwanamichezo hasa soka. Kutokana na upenzi wangu katika michezo & baada ya kufanya utafiti, nimefikiria kufungua Duka dogo la vifaa vya michezo kanda ya ziwa.

Baadhi ya vifaa ni viatu, jezi, socks, shin guards, mipira na vitu vinavyofanana na hivyo.

Je, ni duka gani la jumla linauza vifaa vizuri vya aina hii Dar es salaam kwa gharama nafuu?.
 
Back
Top Bottom