Dukani Dubai

Hahahahahaha hata siwaelewi wanachokifanya na hayo masanamu maana mpaka wameyakalia chini kabisa inaonekana wana UH plus plus...LOL!
 
Kweli maendeleo yana mambo yake, nadhani hao vijana walikuwa wako binded na sharia na inaonekana ndio mara yao ya kwanza kuona chu*i ya mwanamama adharani,

tutaona mengi hapo dubai
 
Wacha wale kwa macho. Huyo aliyetinga t-shirt na jeans ni mwenzao kweli? Mbona hajatinga sare sare na wenzake, ama ndio kusema anawachora mab**ge mtozeni washangaao sanamu!
 
hawa vijana wameniaibisha ... am speechless 😡
 
Hahahahahaha hata siwaelewi wanachokifanya na hayo masanamu maana mpaka wameyakalia chini kabisa inaonekana wana UH plus plus...LOL!


mbona hayo masanamu mara nyingi huwasaidia wenye maduka? Hapana hasara wala lawama hapo!
 
Sasa jamani hawa jamaa wamekwenda kununua au kupiga chabo? Hii sasa ndo peeping Tom.
 
Mi hapa siwashangai kabsaa kwa maana hata sisi kuna vitu ambavyo kama ni mara ya kwanza kuviona lazima tuvikodolee macho!! nadhani kwa hao jamaa kutokana na sheria za kiislam kuona ch**i ya demu nje nje la haula lazima uitolee macho!
 
Hii kali, huyo mmoja kavua na viatu huku akitikisa miguu taratiibu...
 
usicheza na sharia weye inabana, inaelekea wameshuka leo leo hao !!!
 
Maria Roza

Nilifikiri umeleta lile jukwaa lako mitaa hii pia! ehuuuu!
 
Dubai mshafika nyie?
wanawake wa Dubai wanavaa kuliko wazungu. hakuna kisichokuwepo huko, night clubs za kumwaga.

hiyo picha wasi wasi wangu mtu kaibandua mahala bila ya kujua maana ya muweka picha.

lets not jump to conclusion that first ppl........maana naona tunataka kugeuka 'wazungu' wanaoamini kila muafrica ameshawahi kumuona simba mwituni kwa kuwa africa nzima ni mwitu
 
Duh mie sijawaelewa hao jamaa ni kwamba hawajawahi ona sanamu za aina hiyo au ndio vileeeeee........
 
Jamaa wanashangaa sanamu za kike, Ama kweli ukame umewazidi!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…