Mkuu unaongea kweli au unazuga?Ndo mimi
Tukutane temeke kwenye kinasaMkuu unaongea kweli au unazuga?
Nina ngoma nataka kurekod vp nitakupata vp
Bei gan kurekod mkuu niko mwanza hapa labda nifunge safarTukutane temeke kwenye kinasa
0714884342Bei gan kurekod mkuu niko mwanza hapa labda nifunge safar
Poa mkuu0714884342
Insiter unatumia jina gan0714884342
Nipigie kwenye number hiyoInsiter unatumia jina gan
Duke mzee wa ngumu [emoji122]Ndo mimi
Duke awezi kuwa uyu ng'ombe ...anachafua jina la mtu.Duke mzee wa ngumu [emoji122]
Hahahahaaa ndo yeye bhanaDuke awezi kuwa uyu ng'ombe ...anachafua jina la mtu.
Watilia machapisho yake kisha mpime na duke wa mlap co wa tamaduni utagundua tofauti
We mbuzi nini acha shobo na WanaumeDuke awezi kuwa uyu ng'ombe ...anachafua jina la mtu.
Watilia machapisho yake kisha mpime na duke wa mlap co wa tamaduni utagundua tofauti
Beira huyo!Mkuu unaongea kweli au unazuga?
Nina ngoma nataka kurekod vp nitakupata vp
hahahhaha unataka kufanyaje we dogo bhana wenge saaaanaMkuu unaongea kweli au unazuga?
Nina ngoma nataka kurekod vp nitakupata vp
Pale kijitonyama kwa wakwe zako umehama?Ndo mimi
Mambo dadaBeira huyo!
Nataka nikarekod bonge la ngoma kwa duke maana huwa ana midundo ya hatar sanahahahhaha unataka kufanyaje we dogo bhana wenge saaaana
Duke uliemtoa benpol,sterio,Niki mbishi au duke yupi?Ndo mimi