Duke, JCB na Fid Q kwenye stage moja ilikuwa Noma!! Fid q alipendeza Sana!!!!!!!

Nataka nikarekod bonge la ngoma kwa duke maana huwa ana midundo ya hatar sana
Ni hip hop au bongo fleva.

Hebu Fanya flow kidogo tusikie kwanza naweza kukuunganisha kwa nahreel.... [emoji13] [emoji23] [emoji91] [emoji441] [emoji444]
 
Ivi uku jf kuna kitufe cha Ku report ....acha tuwasiliane na musika na jinalake sio kwa upupu unao zilisha udunya wako
 
Ni hip hop au bongo fleva.

Hebu Fanya flow kidogo tusikie kwanza naweza kukuunganisha kwa nahreel.... [emoji13] [emoji23] [emoji91] [emoji441] [emoji444]
Aaa et unasema jaman kweli?
 
Maaalim duke hajanyoa tu huo uchebe ...daaahh huyo Fid q nae kavaa pensi hilo kama lile shuka LA machine la kupitishia UNGA ......
 
Hahah!! bado nahitaji muda muhuhakikisha
kwakweli mimi mwenyew kanitoa kwenye reli ..duke huyu huyu naye mjua mimi mzee wa kubum kuba"".... may be anaweza kuwa ndiye yeye ""....maana naye alikuwa anajiita hivyo hivyo duke touch
 
kwakweli mimi mwenyew kanitoa kwenye reli ..duke huyu huyu naye mjua mimi mzee wa kubum kuba"".... may be anaweza kuwa ndiye yeye ""....maana naye alikuwa anajiita hivyo hivyo duke touch
Hili ni tango pori mkuu wala sie yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…