YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Majuzi nilileta thread kuhusiana na faida ya ndoa kwa mwanaume tajiri ni nini, nashukuruni kwa michango yenu.
Nina ka story kadogo cha demu fulani hivi niliomtokeaga 2018 hapo kalikuwa kamemaliza F6, nilimkuta kwenye duka langu la Mangi. Uzuri kama kawaida yangu nilitumia nguvu ya hela ikatiki.
Na namshukuru Mungu alinipa ushirikiano mzuri wa penzi kumbe nilikuwa mwanaume wake wa kwanza bana asee sikuamini kwa ule uzuri kuwa atakuwa bikra sema kwa vile ndo kalikua kimemaliza F6, sikushtuka sana.
Basi bana baada ya kunizawadia bikra yake nikawa nae kwa miaka 4 full, ila tulikuja kuachana mwezi wa 8/2022 sababu ya yeye kunicheat na muhuni tu wa mtaani.
Anyway siwezi kumlaumu maana mimi pia ni malaya tu promax, na majukumu ndo kipaumbele changu hivyo nilikuwa simpi muda kwenye mahusiano yetu.
Ila sijui kwanini haikuniumiza sana kihivyo, nahisi kwa vile nilimtoa bikra yake. Dukuduku langu naona kuwa ukiwa na demu au mke bikra ni fahari zaidi maana ile pride inayotokana na kumtoa bikra ni next level.👏
Yaani kuna ka feeling fulani hivi kazuri unakuwa nako moyoni.
Muwe na siku njema.