inasikitisha mnoHii kali, katika matukio makubwa ya kushangaza basi hili la kwanza
Mbona inafahamika ashavuliwa ubingwa zamani tuDula Makabila msanii maarufu wa Tanzania wa miondoko ya Singeli ameamua kubadilisha muonekano wake asili wa kiume na kuja na muonekano mpya wa kike akiwa amevalia wigi la kike pamoja na glasss ya kike.
Dula anadai kuwa anafuata ushauri wa mpenzi wake aliye naye sasa na kila analomweleza basi yeye hufuata pasipo pingamizi
View attachment 2671731
View attachment 2671732
Yeye aandae kijambio tuKwahiyo akae akijua kuwa asiwaze fimbo za kumchapa zinapatikana kila kona kwenye mji huu
Bila ShurutiKaamua kuukalia😂
Na anaendeleaKo kashapakatwa tayari? 😂