THEO LYIMO
Member
- Mar 11, 2012
- 46
- 17
Huku waachie wenyewe wauza sura na wapaka poda,....hutakaa uwaelewe wanachojadili hapa wanadhani watu wote humu wapo Tandale na Temeke na hawajui JF ni world wide.Dula ndiye nani? ABDALLAH MAJURA au? ABDALLAH MWAIPAYA?
Huku waachie wenyewe wauza sura na wapaka poda,....hutakaa uwaelewe wanachojadili hapa wanadhani watu wote humu wapo Tandale na Temeke na hawajui JF ni world wide.
Idiot person,..... am oversize to you, don't even think to start a war with me i will complete destroy you & if u don't believe it try again to talk rubbish then u will see what is next, don't say i didn't warn you!ww kwani watu wa tandale na tandika wana kitu gani,.
Idiot person,..... am oversize to you, don't even think to start a war with me i will complete destroy you & if u don't believe it try again to talk rubbish then u will see what is next, don't say i didn't warn you!
Fyeuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!nyoooooo.
Idiot person,..... am oversize to you, don't even think to start a war with me i will complete destroy you & if u don't believe it try again to talk rubbish then u will see what is next, don't say i didn't warn you!
Idiot person,..... am oversize to you, don't even think to start a war with me i will complete destroy you & if u don't believe it try again to talk rubbish then u will see what is next, don't say i didn't warn you!
What i mean sio kukashifu,.....maana yangu ilikuwa kwamba JF inatumiwa na watu ambao wako nchi mbalimbali hapa duniani Hiyo Tandale na Temeke its just a sample tu na wengine wana zaidi ya miaka 10 hawajawahi kurudi Bongo, kuna mtindo humu umezuka hasa kwa hawa vijana wa under 25 wapoleta thread huwa wanadhani ni story ya washkaji mnaokaa mtaa mmoja ndio mnashare hiyo story, lakini ukianza kuiandaa story yako vizuri na ukaileta hapa hata asiyewajuwa hao wahusika lakini anapata content ya hiyo story ulikusudia kuleta habari gani then wote tunashare na kucoment.Mkuu matola pamoja na kuwa mankind amekosea sana kukutusi lakini wewe pia ulikosea sana kuwa undervalue watu wa Tandale na Temeke mkuu! ndio wanaweza kuwa ni makabwela lakini usifikiri ukabwela wao unawafanya wasiwe weledi wa mambo!
Fyeuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
What i mean sio kukashifu,.....maana yangu ilikuwa kwamba JF inatumiwa na watu ambao wako nchi mbalimbali hapa duniani Hiyo Tandale na Temeke its just a sample tu na wengine wana zaidi ya miaka 10 hawajawahi kurudi Bongo, kuna mtindo humu umezuka hasa kwa hawa vijana wa under 25 wapoleta thread huwa wanadhani ni story ya washkaji mnaokaa mtaa mmoja ndio mnashare hiyo story, lakini ukianza kuiandaa story yako vizuri na ukaileta hapa hata asiyewajuwa hao wahusika lakini anapata content ya hiyo story ulikusudia kuleta habari gani then wote tunashare na kucoment.
Wakati mwingine lugha kali ndiyo njia sahihi za kuwafundisha watu kwa vitendo.
Sentensi tata inakuja kwenye thread tata!!.... wewe ndio finyu, jifunze jipange tena siku nyingine.ungekuwa specific sio unatuwekea sentensi tata!
huo ni ufinyu wa fikra na kutafakari!mwerevu hatukani,..jifunze jipange
dula mbana pua tu,sharo bang! Anacopy stail ya adamu mchomvu na b12,hana ubunifu. Kwanza enzi za salama kipindi cha salama kipindi kilikuwa na mvuto sana,inshot dogo kaharibu kipindi.ni hayo tu.