yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,409 Mar 24, 2012 #21 Nilikuwa sikikosi hicho kipindi enzi za salama j but now sina mzuka nacho kabisaa. nakiona kama matangazo ya vifo.anapretend kupita kiasi ..aachege kubana sauti
Nilikuwa sikikosi hicho kipindi enzi za salama j but now sina mzuka nacho kabisaa. nakiona kama matangazo ya vifo.anapretend kupita kiasi ..aachege kubana sauti
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Mar 24, 2012 #22 manuu said: Mimi huwa natofautiana nae kwa jinsi anavyobana pua tu. Huwa anibariki. Click to expand... huwa anatangaza kipindi cha Gospel nini mpaka akubariki....
manuu said: Mimi huwa natofautiana nae kwa jinsi anavyobana pua tu. Huwa anibariki. Click to expand... huwa anatangaza kipindi cha Gospel nini mpaka akubariki....