Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Dulla Makabila alipompata Zai mbwe mbwe kibao leo kiko wapi??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa ninavyoona haraka haraka Dulla ndiye aliyempenda Zai ila Zai wala hakuwa na mapenzi kihiiivyo Dulla.
Pia ukichunguza kwa makini Zai haikuwa akili ya kawaida ku date na Dulla ni ile kukurupuka baada ya kutengana na bwana wake ndipo akaangukia kwa Dulla tena ndani ya muda mchache mnooo.
Masikini Dulla ,rasta kanyoleshwa akaamliwa anyoe kipara akanyoa,wigi kaveshwa lakini bado kapigwa kibuti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa alikuwa kama zezeta kwa Zai , mwenyewe utamkuta kwenye show anawaambia mashabiki zake "Nikisema Zaiii mnasema Lisa,Zai Lisaaa ,Zai Lisaaa " leo sijui itakuwaje maana ana show lakini amejawa na mawazo mno.