Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Walikuwa hawaendani hata kidogoSo what?
Ukiwa unainba sengeli wewe ni wa kienyeji sana, usihangaike na classic chick's, hutodumu nao.
Kwa wakiwnyeji wenzako, dera ni vazi la kutokea, kwa ushuani dera ni vazi la kufanyia kazi za ndani, hata msibani hatuvaagi
ChaiDulla Makabila alipompata Zai mbwe mbwe kibao leo kiko wapi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa ninavyoona haraka haraka Dulla ndiye aliyempenda Zai ila Zai wala hakuwa na mapenzi kihiiivyo Dulla.
Pia ukichunguza kwa makini Zai haikuwa akili ya kawaida ku date na Dulla ni ile kukurupuka baada ya kutengana na bwana wake ndipo akaangukia kwa Dulla tena ndani ya muda mchache mnooo.
Masikini Dulla ,rasta kanyoleshwa akaamliwa anyoe kipara akanyoa,wigi kaveshwa lakini bado kapigwa kibuti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa alikuwa kama zezeta kwa Zai , mwenyewe utamkuta kwenye show anawaambia mashabiki zake "Nikisema Zaiii mnasema Lisa,Zai Lisaaa ,Zai Lisaaa " leo sijui itakuwaje maana ana show lakini amejawa na mawazo mno.
View attachment 2696399
Zai Hana uclassic wowote Sema tu kapata bahati ya kuigiza tamthilia za lamata Baasi,ila WA uswazi tu kama WengineSo what?
Ukiwa unainba sengeli wewe ni wa kienyeji sana, usihangaike na classic chick's, hutodumu nao.
Kwa wakiwnyeji wenzako, dera ni vazi la kutokea, kwa ushuani dera ni vazi la kufanyia kazi za ndani, hata msibani hatuvaagi
Soon anapokea mhuni mwingine anaendeleza kuchakata KDulla Makabila alipompata Zai mbwe mbwe kibao leo kiko wapi??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa ninavyoona haraka haraka Dulla ndiye aliyempenda Zai ila Zai wala hakuwa na mapenzi kihiiivyo Dulla.
Pia ukichunguza kwa makini Zai haikuwa akili ya kawaida ku date na Dulla ni ile kukurupuka baada ya kutengana na bwana wake ndipo akaangukia kwa Dulla tena ndani ya muda mchache mnooo.
Masikini Dulla ,rasta kanyoleshwa akaamliwa anyoe kipara akanyoa,wigi kaveshwa lakini bado kapigwa kibuti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa alikuwa kama zezeta kwa Zai , mwenyewe utamkuta kwenye show anawaambia mashabiki zake "Nikisema Zaiii mnasema Lisa,Zai Lisaaa ,Zai Lisaaa " leo sijui itakuwaje maana ana show lakini amejawa na mawazo mno.
View attachment 2696399
Mjomba kuna cha soon hpoSoon anapokea mhuni mwingine anaendeleza kuchakata K
Nimeshangaa kusikia Zai ni classicZai Hana uclassic wowote Sema tu kapata bahati ya kuigiza tamthilia za lamata Baasi,ila WA uswazi tu kama Wengine
Sema Zai ndo ana shidaa ndoa tatu zote zimemshinda kaahh
Embu nipe ushua wa zai au u classic wake,So what?
Ukiwa unainba sengeli wewe ni wa kienyeji sana, usihangaike na classic chick's, hutodumu nao.
Kwa wakiwnyeji wenzako, dera ni vazi la kutokea, kwa ushuani dera ni vazi la kufanyia kazi za ndani, hata msibani hatuvaagi
Anakosea viemoji vya kucheka cheka tu.Ila wanaume wa Dar mna matatizo sana,uandishi umekaa kiumbea umbea
Za chini chini inasemekana Zai anatoka kimapenzi na Rommy Jones (RJ).Ila wanaume wa Dar mna matatizo sana,uandishi umekaa kiumbea umbea
Nakwambia atalipa siyo unachezea ndoa hivyo km wastaraZa chini chini inasemekana Zai anatoka kimapenzi na Rommy Jones (RJ).