Kataa ndoa, mwanenu Makabila yamemshinda sasa anajuta
==
Nyota wa muziki wa Singeli nchini Dulla Makabila ameweka wazi leo kuwa moja ya maamuzi anayoyajutia kwenye mahusiano yake na aliyekuwa mke wake Zaiylissa ni kutoa talaka.
Kasema ukweli ila kiuhalisia hakupaswa kusema hadharani
Angetafuta mtu amwambie hata kwa Siri.
Yah ni kweli Kuna mtu unakuwa nae na usingependa kabisa kuachana nae